Tume ya Uchaguzi imetoa majibu kuhusu Wanafunzi kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015… (

.
.
Tukiwa bado tupo kwenye headlines za Uchaguzi 2015 leo Octoba 7, 2015 Mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva ametolea majibu kuhusu Wanafunzi kushiriki Uchaguzi mkuu.
Suala la Wanafunzi mara kwa mara limekuwa likiletwa na sisi kwenye tume tumesema kwamba linafanywa kama la kisiasa kwa maana kwamba mara kadhaa wanafunzi walipokuja pale ofisi za tume kile kikundi chao  wakatuambia kwamba kipindi hiki watakuwa likizo‘ Lubuva
Tukawapa ushauri na tukazungumza nao nimeenda mpaka chuo cha Dodoma tukazungumza nao na tukawapa utaratibu mpaka tukaunda kamati ikaongozwa na Jaji Mkwawa wasikilizwe wakaelezwa na baadae wakaandikiwa barua kwa hiyo hili suala ni   suala la kisiasa na tumeshughulika nalo  mwisho tukawaambia kwamba wamejinyima wenyewe  hii nafasi’- Lubuva
LUBUVAA22
.
Kwa hiyo suala la wanafunzi ninasema kwa niaba ya wenzangu kwamba kwenye tume tumefunga mlango na upande wa kuboresha daftari umepita ni wao wenyewe wamejinyima na kuhusu kwamba vyuo vifungwe  kwasababu ya Uchaguzi Mkuu ni suala la Wizara ya Elimu sio la tume ya Uchaguzi – Lubuv
a

Advertisement

0 comments:

Post a Comment

 
Top