Kiwanda cha cement cha tajiri dangote cha funguliwa

Kwenye list ya Matajiri wakubwa wanaotambulika Duniani kwa sasa yuko pia mfanyabiashara Alhaji Aliko Dangote ambaye ni Raia wa Nigeria, Afrika anatajwa kuwa tajiri wa kwanza kabisa.
Utajiri wake unatokana na nguvu kubwa ambayo amewekeza kwenye Biashara na Miradi mbalimbali ikiwemo Miradi ya Sukari, Cement, Mafuta na Biashara nyingine kubwakubwa.
Alikuja Tanzania pia akahitaji kuwekeza moja ya Miradi yake mikubwa, akapata ruhusa ya kufanya ujenzi wa Kiwanda cha Cement Mtwara… ujenzi umefikia pazuri na RaisKikwete alifika pia kwa ajili ya Sherehe za uzinduzi wa Kiwanda hicho.
d3
Rais JK akitambulishwa kwa Wageni wengine toka Nigeria waliohudhuria Uzinduzi huo October 10 2015 Mtwara.
d22
Alhaji Aliko Dangote kwenye Hotuba.
d25
.
d29
Rais Kikwete kwenye Hotuba pia ya Uzinduzi.
d35
Wakati wa Picha ya pamoja, Rais JK, Mama Salma KikweteAliko Dangote pamoja na Wageni wengine.
d37
Baadhi ya Wafanyakazi toka China na India waliohusika na Ujenzi wa Kiwanda hicho.
d39
.
d41
Muonekano wa moja ya sehemu za ndani ya Kiwanda.
d45
.
d47
Muonekano wa moja ya Majengo ya Kiwanda.
d48
Upande mwingine wa Kiwanda.
d49
picha zote kutoka blog ya issa michuz
by super solotz

Advertisement

0 comments:

Post a Comment

 
Top