ENTERTAINMENT

 

Mpenzi wa zamani wa Mose Iyobo leo kapiga stori na Soudy Brown, Alichokisema?…#Uheard Audio

Soudy Brown leo kapiga stori na Mwengi ambaye alikua mpenzi wa zamani wa Mose Iyobo na mama wa mtoto wake..kafunguka na kusema kwa sasa anaishi maisha ya furaha na tayari ana mtu wake ambaye hawezi kumuweka wazi.
Amesema alikua na ukaribu sana na Aunt Ezekiel kama marafiki lakini hakuwahi kujua kama angeweza kumgeuka.
Baada ya kuachana na Mose Iyobo anasema awali alikua akija kumjulia mtoto hali na kutoa matumizi lakini kwa sasa amemkataza kutokana na kutumiwa msg zisizo nzuri na Aunt, pia kuna siku mtoto wake alikwenda kwa Aunt lakini akarudi akiwa anaumwa san
a

Advertisement

0 comments:

Post a Comment

 
Top