ENTERTAINMENT

Album ya drake yafunika mauzo ya kidigital

super solotz
Rapper kutoka kwenye lebo ya Cash Money RecordsDrake anazidi kufaidi matunda yake mengi anayoyapata kupitia muziki wake kwa kuvunja rekodi kwenye chati mbalimbali za muziki.
CAMDEN, NJ - AUGUST 21: (EDITORS NOTE: Image has been converted to black and white.) Rapper Drake performs Drake Vs Lil Wayne Tour at the Susquehanna Bank Center on August 21, 2014 in Camden, New Jersey. (Photo by Gilbert Carrasquillo/Getty Images)
Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali zilizotolewa na Neilsen Soundscan, album ya Drakeiliyopewa jina ‘If You’re Reading This It’s Too Late’, imetajwa kuwa Album yenye mauzo ya juu zaidi ya kidigital kwa mwaka huu wa 2015, ikiwa imeuza zaidi ya copy 951,000 za kidigital kufikia mwezi wa September 2015.
DRIZZY
Album ya If You’re Reading This Its Too Late iliachiwa rasmi tarehe 21 February 2015kwenye mitandao ya kidigital na ndani ya wiki ya kwanza tu ya mauzo, Album hiyo iliuza idadi ya copy 535,000, na ndani ya wiki ya kadhaa ya mauzo Album hiyo ikashika #1kwenye chati ya Billboard 200.
NEW YORK, NY - OCTOBER 28: Singer/rapper Drake performs at Barclays Center on October 28, 2013 in New York City. (Photo by Stephen Lovekin/Getty Images)
Ukiacha mauzo ya kidigital peke yake, album hiyo ilipoingia madukani iliuza copy nyingi zaidi za CD ukichanganya na idadi ya mauzo ya kustream online pia, kitendo hiki kilisababisha Album hiyo kupata platinum status, ndani ya miezi michache tu ya kuwa sokoni!


 

Advertisement

0 comments:

Post a Comment

 
Top