.
.
Rapper kutokea Mbeya City, Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Shem Lake amewashirikisha G Nako na Mwana FA.
Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Izzo Bizness, G Nako na Mwana FA wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu..
Bonyeza hapa kuingia kuisikiliza na kudownload moja kwa moja…>>>>> HAPA

Advertisement

0 comments:

Post a Comment

 
Top