Rapper na producer wa muziki toka Marekani, Swizz Beatz ni kama midundo ya Afrika ameanza kuikubali sana sasahivi.. kuna siku alipost yeye pamoja na mpenzi wake, Alicia Keys vipisi vya video wakienjoy midundo ya kwenye album ya staa wa Muziki toka Nigeria, Wizkid.
Muda mfupi uliopita jamaa kapost tena kipande cha video ya mtoto wake akiwa anacheza wimbo wa Diamond Platnumz, ‘Nana’ Feat. Mr. Flavour… kwenye post hiyo Swizzameandika >>> “Vibes 💃👸 song by@diamondplatnumz #goodvibes” >>> @therealswizzz
fungua hapa kuona video hyo javascript:;

Advertisement

0 comments:

Post a Comment

 
Top