Baraza la Sanaa  Tanzania, Basata wameufungia rasmi wimbo wa msanii Roma Mkatoliki uitwao 'Viva Roma Viva ' na nyinginezo zenye ujumbe kama ule.
 
Basata imesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo.
JE we kama mshabiki wa muziki unaona ni sawa na ni haki roma kufungiwa ???
je unashauri nini??

Advertisement

0 comments:

Post a Comment

 
Top