Diamond Platnumz amepata nafasi nyingine ya kushirikiana na mastaa
mbalimbali wa Afrika akiwemo Wizkid wa Nigeria, kurekodi wimbo wa
kampeni ya Umoja wa mataifa, ‘United Nations Global Goals campaign’.
Hit maker huyo wa ‘Nana’ na Wizkid wameungana na wanamuziki wengine
wakubwa wa Afrika kama Yemi Alade (Nigeria), rapper Sarkodie (Ghana),
kundi la Mafikizolo (South Africa), Sauti Sol (Kenya), Becca (Ghana) na
Toofan (Togo).
Maproducer ambao wameshiriki kutengeneza wimbo huo ni Cobhams Asuquo
(Nigeria), David KING DAVID Muthami (Kenya) na Ellputo (Mozambique).
Home
»
NEWS
» Diamond, Wizkid, Sarkodie, Mafikizolo, Yemi Alade na wengine warekodi wimbo wa ‘United Nations Global Goals campaign’
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment