DIAMOND AFIKISHA FOLLOWERS MILLION 1 SASA Mtanzania Diamond Platnumz amejiunga na wasanii Wanigeria Davido na Wiz Kid waliofikisha followers milioni moja kwenye mtandao maarufu wa kijamii a Instagram. Diamond amefikisha namba hii usiku wa kuamkia September 9 2015.
0 comments:
Post a Comment