Taarifa kuhusu twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii wakihusishwa na twiga wa hapa tanzania
LOLIONDO HAINA SPECIES ZA TWIGA WEUPE:
Picha zinazo sambazwa kwenye mitandao kwa kukihusisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusiana na usafirishaji wa Twiga kwa kutumia ndege si za kweli na zinatengenezwa kama propaganda za kisiasa. Kwa bahati mbaya Tanzania ina jamii (species) ya Twiga weupe kwa kiwango kidogo mno ambapo waligunduliwa mwaka 1993 katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire. Kwa mara ya mwisho utafiti uliofanywa na Wildlife Conservation Society (WCS) mwaka 2005 wakati wa Aerial Count Survey ya Tembo katika Hifadhi ya Tarangile aliweza kuonekanika Twiga mweupe mmoja. Kwa mujibu wa maelezo yanayotolewa kwenye picha husika yanaonyesha picha ya Twiga Mweupe aliye kamatwa eneo la Loliondo ambapo kuna mwekezaji wa Ortello Business Company kitu ambacho si kweli kabisa kwani eneo hilo lina Twiga Weusi (Giraffa camelopardus) peke yake.
Huo ni udhushi na uongo mkubwa sana upuuzwe, eneo hilo halina kabisa Twiga wa aina hiyo.
Race ya twiga wa rangi hiyo ya kwenye picha siyo maasai giraffe (Giraffa Camelopardalus massaicus), bali huyo yupo maeneo ya kusini mwa Afrika, kadiri unavyokuja upande wa kaskazini kuelekea Egypt rangi inazidi kuwa "pale" yaani inafifia kwani unaelekea kuliko na high intensity of sunlight energy. So huo ni uzushi mkubwa sana unaofanywa na wanywa viroba wa UKAWA.
FOOD FOR THOUGHTS KWA UKAWA:
Tunaweza jiuliza mbona tangu twiga wanasafirishwa hiyo miaka ya nyuma hizo picha hazikutolewa? Hiyo ndege ni ya shirika gani? Lakn kumbukeni pia ipo biashara ya wanyama hai (live wild animals business) katika kundi hilo Twiga hayumo, na pia mjue rais anaweza kumtoa kama zawadi kwa rafiki au kiongozi yeyote nje ya nchi! Someni sheria ya kuhifadhi wanyamapori Na. 5 ya mwaka 2009. Ila si walaumu maana wengine mmeshajipofua hamuwezi kuuona ukweli na hamtaki kuujua kabisa aka wapumbavu (Please take note sasa ni wakati wa siasa vijembe ruksa).

Advertisement

0 comments:

Post a Comment

 
Top